Wagalatia 2:8 BHN

8 Maana, yule aliyemwezesha Petro kuwa mtume kwa Wayahudi, ndiye aliyeniwezesha nami pia kuwa mtume kwa watu wa mataifa mengine.

Kusoma sura kamili Wagalatia 2

Mtazamo Wagalatia 2:8 katika mazingira