Wagalatia 4:19 BHN

19 Watoto wangu, kama vile mama mjamzito anavyotaabika wakati wa kujifungua, mimi nataabika tena kwa ajili yenu mpaka hapo hali yake Kristo itakapoundwa ndani yenu.

Kusoma sura kamili Wagalatia 4

Mtazamo Wagalatia 4:19 katika mazingira