Wagalatia 4:23 BHN

23 Yule wa mwanamke mtumwa alizaliwa kama kawaida, lakini yule wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.

Kusoma sura kamili Wagalatia 4

Mtazamo Wagalatia 4:23 katika mazingira