Wagalatia 4:29 BHN

29 Lakini kama vile siku zile yule mtoto aliyezaliwa kwa njia ya kawaida alimdhulumu yule aliyezaliwa kwa uwezo wa Roho wa Mungu, vivyo hivyo na siku hizi.

Kusoma sura kamili Wagalatia 4

Mtazamo Wagalatia 4:29 katika mazingira