Wagalatia 4:7 BHN

7 Basi, wewe si mtumwa tena, bali mwana. Na ikiwa ni mwana, basi, wewe utapokea yote Mungu aliyowawekea watoto wake.

Kusoma sura kamili Wagalatia 4

Mtazamo Wagalatia 4:7 katika mazingira