13 Nyinyi ndugu, mliitwa muwe watu huru. Lakini uhuru huo usiwe kisingizio cha kutawaliwa na tamaa za kidunia; ila mnapaswa kutumikiana kwa upendo.
Kusoma sura kamili Wagalatia 5
Mtazamo Wagalatia 5:13 katika mazingira