Wagalatia 5:17 BHN

17 Maana, tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya roho; na matakwa ya Roho hupingana na tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale mnayotaka nyinyi wenyewe.

Kusoma sura kamili Wagalatia 5

Mtazamo Wagalatia 5:17 katika mazingira