6 Maana ikiwa tumeungana na Kristo Yesu, kutahiriwa au kutotahiriwa hakuna maana; cha maana ni imani ifanyayo kazi kwa mapendo.
Kusoma sura kamili Wagalatia 5
Mtazamo Wagalatia 5:6 katika mazingira