Wakolosai 1:25 BHN

25 Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,

Kusoma sura kamili Wakolosai 1

Mtazamo Wakolosai 1:25 katika mazingira