Wakolosai 1:9 BHN

9 Kwa sababu hiyo tumekuwa tukiwaombeeni daima tangu wakati tulipopata habari zenu. Tunamwomba Mungu awajazeni ujuzi kamili wa matakwa yake, pamoja na hekima yote na ujuzi wa kiroho.

Kusoma sura kamili Wakolosai 1

Mtazamo Wakolosai 1:9 katika mazingira