Wakolosai 3:17 BHN

17 Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, fanyeni vyote kwa jina la Bwana Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake.

Kusoma sura kamili Wakolosai 3

Mtazamo Wakolosai 3:17 katika mazingira