Wakolosai 3:5 BHN

5 Basi, ueni chochote kilicho ndani yenu ambacho ni cha kidunia: Uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu).

Kusoma sura kamili Wakolosai 3

Mtazamo Wakolosai 3:5 katika mazingira