Waroma 1:13 BHN

13 Ndugu zangu, nataka mjue kwamba mara nyingi nilikusudia kuwatembeleeni, lakini mpaka sasa nimezuiwa. Ningependa kupata mafanikio mema kati yenu kama nilivyopata kati ya watu wa mataifa mengine.

Kusoma sura kamili Waroma 1

Mtazamo Waroma 1:13 katika mazingira