Waroma 1:16 BHN

16 Sioni aibu kutangaza Habari Njema; yenyewe ni nguvu ya Mungu inayowaokoa wote wanaoamini: Wayahudi kwanza na wasio Wayahudi pia.

Kusoma sura kamili Waroma 1

Mtazamo Waroma 1:16 katika mazingira