Waroma 1:23 BHN

23 Wanaacha kumwabudu Mungu aishiye milele, na badala yake, wanaabudu sanamu zilizo mfano wa binadamu ambaye hufa, mfano wa wanyama, ndege, au wanyama watambaao.

Kusoma sura kamili Waroma 1

Mtazamo Waroma 1:23 katika mazingira