Waroma 10:12 BHN

12 Jambo hili ni kwa wote, kwani hakuna tofauti kati ya Wayahudi na wasio Wayahudi; Bwana wa wote ni mmoja, naye ni mkarimu sana kwao wote wamwombao.

Kusoma sura kamili Waroma 10

Mtazamo Waroma 10:12 katika mazingira