14 Basi, watamwombaje yeye ambaye hawamwamini? Tena, watamwaminije kama hawajapata kusikia habari zake? Na watasikiaje habari zake kama hakuna mhubiri?
Kusoma sura kamili Waroma 10
Mtazamo Waroma 10:14 katika mazingira