Waroma 11:12 BHN

12 Kosa la Wayahudi limesababisha baraka nyingi kwa ulimwengu, na utovu wao wa kiroho umeleta baraka nyingi kwa watu wa mataifa mengine. Basi, ni dhahiri kwamba kuingizwa kwa idadi yao kamili kutakuwa ni baraka zaidi.

Kusoma sura kamili Waroma 11

Mtazamo Waroma 11:12 katika mazingira