Waroma 11:16 BHN

16 Ikiwa kipande cha kwanza cha mkate kimewekwa wakfu, mkate wote umewekwa wakfu; mizizi ya mti ikiwa mizuri, na matawi yake huwa mazuri pia.

Kusoma sura kamili Waroma 11

Mtazamo Waroma 11:16 katika mazingira