Waroma 11:18 BHN

18 Basi, msiwadharau wale waliokatwa kama matawi! Na, hata kama kuna la kujivunia, kumbukeni kwamba si nyinyi mnaoitegemeza mizizi, bali mizizi ndiyo inayowategemeza nyinyi.

Kusoma sura kamili Waroma 11

Mtazamo Waroma 11:18 katika mazingira