Waroma 11:2 BHN

2 Mungu hakuwakataa watu wake aliowateua tangu mwanzo. Mnakumbuka yasemavyo Maandiko Matakatifu juu ya Elia wakati alipomnungunikia Mungu kuhusu Israeli:

Kusoma sura kamili Waroma 11

Mtazamo Waroma 11:2 katika mazingira