Waroma 11:25 BHN

25 Ndugu zangu, napenda mjue ukweli huu uliofichika msije mkajiona wenye akili sana. Ukaidi wa Wayahudi ulikuwa ni wa muda tu, mpaka watu wa mataifa mengine watakapokuwa wamemfikia Mungu.

Kusoma sura kamili Waroma 11

Mtazamo Waroma 11:25 katika mazingira