Waroma 11:33 BHN

33 Utajiri, hekima na elimu ya Mungu ni kuu mno! Huruma zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu:

Kusoma sura kamili Waroma 11

Mtazamo Waroma 11:33 katika mazingira