16 Ishini kwa kupatana vema nyinyi kwa nyinyi. Msijitakie makuu, bali jishughulisheni na madogo. Msijione kuwa wenye hekima sana.
Kusoma sura kamili Waroma 12
Mtazamo Waroma 12:16 katika mazingira