Waroma 12:2 BHN

2 Msiige mitindo ya ulimwengu huu, bali Mungu afanye mabadiliko ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu. Hapo ndipo mtakapoweza kuyajua mapenzi ya Mungu na kutambua jambo lililo jema, linalompendeza na kamilifu.

Kusoma sura kamili Waroma 12

Mtazamo Waroma 12:2 katika mazingira