Waroma 14:22 BHN

22 Basi, shikilia unachoamini kati yako na Mungu wako. Heri mtu yule ambaye, katika kujiamulia la kufanya, haipingi dhamiri yake.

Kusoma sura kamili Waroma 14

Mtazamo Waroma 14:22 katika mazingira