Waroma 14:4 BHN

4 Wewe ni nani hata uthubutu kumhukumu mtumishi wa mwingine? Akisimama au akianguka ni shauri la Bwana wake; naam, atasimama imara, maana Bwana anaweza kumsimamisha.

Kusoma sura kamili Waroma 14

Mtazamo Waroma 14:4 katika mazingira