8 maana tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana.
Kusoma sura kamili Waroma 14
Mtazamo Waroma 14:8 katika mazingira