7 Salamu zangu kwa Androniko na Yunia, wananchi wenzangu waliofungwa gerezani pamoja nami; wao wanajulikana sana kati ya mitume; tena walikuwa Wakristo kabla yangu mimi.
Kusoma sura kamili Waroma 16
Mtazamo Waroma 16:7 katika mazingira