Waroma 2:1 BHN

1 Basi, rafiki, kama unawahukumu wengine, huwezi kamwe kujitetea, hata kama wewe ni nani. Kwa maana, kwa kuwahukumu wengine, unajilaani wewe mwenyewe kwa vile nawe unayafanya mambo yaleyale unayohukumu.

Kusoma sura kamili Waroma 2

Mtazamo Waroma 2:1 katika mazingira