Waroma 2:12 BHN

12 Wale wanaotenda dhambi bila kuijua sheria wataangamia ingawaje hawaijui sheria. Na wale wanaotenda dhambi wakiwa wanaijua sheria watahukumiwa kisheria.

Kusoma sura kamili Waroma 2

Mtazamo Waroma 2:12 katika mazingira