Waroma 2:21 BHN

21 Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.

Kusoma sura kamili Waroma 2

Mtazamo Waroma 2:21 katika mazingira