Waroma 2:24 BHN

24 Kama vile Maandiko Matakatifu yasemavyo: “Watu wa mataifa mengine wamelikufuru jina la Mungu kwa sababu yenu nyinyi Wayahudi!”

Kusoma sura kamili Waroma 2

Mtazamo Waroma 2:24 katika mazingira