5 Lakini unao ugumu na ukaidi wa moyo, na hivyo unajirundikia adhabu kwa siku ile ya ghadhabu wakati hukumu ya haki ya Mungu itakapodhihirishwa.
Kusoma sura kamili Waroma 2
Mtazamo Waroma 2:5 katika mazingira