10 Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo:“Hakuna hata mmoja aliye mwadilifu!
11 Hakuna mtu anayeelewa,wala anayemtafuta Mungu.
12 Wote wamepotokawote wamekosa;hakuna atendaye mema,hakuna hata mmoja.
13 Makoo yao ni kama kaburi wazi,ndimi zao zimejaa udanganyifu,midomoni mwao mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka.
14 Vinywa vyao vimejaa laana chungu.
15 Miguu yao iko mbioni kumwaga damu,
16 popote waendapo husababisha maafa na mateso;