22 Mungu huwakubali watu kuwa waadilifu kwa njia ya imani yao kwa Yesu Kristo; Mungu hufanya hivyo kwa wote wanaoamini; hakuna ubaguzi wowote.
Kusoma sura kamili Waroma 3
Mtazamo Waroma 3:22 katika mazingira