4 Hata kidogo! Mungu hubaki mwaminifu daima, ingawaje kila binadamu ni mwongo. Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo:“Kila usemapo,maneno yako ni ya kweli;na katika hukumu,wewe hushinda.”
Kusoma sura kamili Waroma 3
Mtazamo Waroma 3:4 katika mazingira