22 Lakini sasa mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mmekuwa watumishi wa Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake ni uhai wa milele.
Kusoma sura kamili Waroma 6
Mtazamo Waroma 6:22 katika mazingira