Waroma 7:20 BHN

20 Basi, kama ninafanya kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba si mimi ninayefanya hayo, bali ni ile dhambi inayokaa ndani yangu.

Kusoma sura kamili Waroma 7

Mtazamo Waroma 7:20 katika mazingira