24 Maana kwa matumaini hayo sisi tumekombolewa. Lakini tumaini halina maana ikiwa tunakiona kile tunachotumainia. Maana ni nani anayetumaini kile ambacho tayari anakiona?
Kusoma sura kamili Waroma 8
Mtazamo Waroma 8:24 katika mazingira