Waroma 9:1 BHN

1 Nasema ukweli tupu; nimeungana na Kristo nami sisemi uongo. Dhamiri yangu ikiongozwa na Roho Mtakatifu inanithibitishia jambo hili pia.

Kusoma sura kamili Waroma 9

Mtazamo Waroma 9:1 katika mazingira