Waroma 9:12 BHN

12 Rebeka aliambiwa kwamba yule mtoto wa kwanza atamtumikia yule wa nyuma. Hivyo uchaguzi wa Mungu unategemea jinsi anavyoita mwenyewe, na si matendo ya binadamu.

Kusoma sura kamili Waroma 9

Mtazamo Waroma 9:12 katika mazingira