21 Mfinyanzi anaweza kuutumia udongo apendavyo na kufinyanga vyungu viwili kwa udongo uleule; kimoja kwa matumizi ya heshima, na kingine kwa matumizi ya kawaida.
Kusoma sura kamili Waroma 9
Mtazamo Waroma 9:21 katika mazingira