23 Alitaka pia kudhihirisha wingi wa utukufu wake ambao alitumiminia sisi tulio lengo la huruma yake; sisi ambao alikwisha kututayarisha kuupokea utukufu wake.
Kusoma sura kamili Waroma 9
Mtazamo Waroma 9:23 katika mazingira