Waroma 9:4 BHN

4 Hao ndio watu wa Israeli ambao Mungu aliwateua wawe watoto wake, akawashirikisha utukufu wake; alifanya nao maagano, akawapa sheria yake, imani ya kweli na ahadi zake.

Kusoma sura kamili Waroma 9

Mtazamo Waroma 9:4 katika mazingira