17 Kila kipaji chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni; hutoka kwa Baba, Muumba wa mianga, ambaye habadiliki wala hana alama yoyote ya ugeugeu.
Kusoma sura kamili Yakobo 1
Mtazamo Yakobo 1:17 katika mazingira