Yakobo 1:25 BHN

25 Lakini mtu anayeangalia kwa makini sheria kamilifu ambayo huwapa watu uhuru, mtu anayeendelea kuizingatia, na si kuisikia tu na kuisahau baadaye, bali anaitekeleza, mtu huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.

Kusoma sura kamili Yakobo 1

Mtazamo Yakobo 1:25 katika mazingira