Yakobo 1:6 BHN

6 Lakini anapaswa kuomba kwa imani bila mashaka yoyote. Mtu aliye na mashaka ni kama mawimbi ya bahari ambayo husukumwa na kutupwatupwa na upepo.

Kusoma sura kamili Yakobo 1

Mtazamo Yakobo 1:6 katika mazingira