Yakobo 2:14 BHN

14 Ndugu zangu, kuna faida gani mtu kusema ana imani, lakini haonyeshi kwa vitendo? Je, hiyo imani yawezaje kumwokoa?

Kusoma sura kamili Yakobo 2

Mtazamo Yakobo 2:14 katika mazingira