Yakobo 2:18 BHN

18 Lakini mtu anaweza kusema: “Wewe unayo imani, mimi ninayo matendo!” Haya! Nioneshe jinsi mtu anavyoweza kuwa na imani bila matendo, nami nitakuonesha imani yangu kwa matendo yangu.

Kusoma sura kamili Yakobo 2

Mtazamo Yakobo 2:18 katika mazingira